Lubalunda the old man
Member
- Dec 28, 2017
- 6
- 6
Duuh mkuu una umbo la rungu...hongera.Ningekuja inbobo sema nina umbo namba 9
Kila la kheri mkuu
Rahisi saana hii. Tuma picha inbobo kisha nitamjuza mtoa uzi.Nitajuaje kama umbo langu ni namba 8?
[emoji3][emoji3][emoji3]tusubiri labda kuna watakaotupenda no9Ningekuja inbobo sema nina umbo namba 9
Kila la kheri mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka kwa sautiiDuuh mkuu una umbo la rungu...hongera.
Halafu wadada wazuri kwa kujifanya wabaya sasa.[emoji3][emoji3][emoji3]tusubiri labda kuna watakaotupenda no9
[emoji23][emoji23][emoji23]eti tupo kama marungu[emoji3][emoji3][emoji3]tusubiri labda kuna watakaotupenda no9
Muulize jirani yako kama hana kijiba cha roho atakujibu vyema kabisa, [emoji23][emoji23]Nitajuaje kama umbo langu ni namba 8?
Hahaaaa kikubwa uhai ata tukiwa kama mikate[emoji23][emoji23][emoji23]eti tupo kama marungu
Hakika bwana atatenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazuri wameshaolewa kaka jirani tumebaki magumegumeHalafu wadada wazuri kwa kujifanya wabaya sasa.
Duuh....Wazuri wameshaolewa kaka jirani tumebaki magumegume
Inshaalaah watakujaDuuh....
Nami natafuta mke sifa awe jirani yangu.
Mawasiliano PM.
Nitumie Picha ako PM afu Nitakupa mrejesho kama ni 8 au 18!!Nitajuaje kama umbo langu ni namba 8?
😀😀 hayaMuulize jirani yako kama hana kijiba cha roho atakujibu vyema kabisa, [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app