Natafuta mke

Chwekamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2017
Posts
507
Reaction score
497
Mimi naitwa Jeff nakaa Dar. Nina miaka 40 natafuta mwanamke ambaye tutakubaliana kuoana. Nimeajiriwa na pia Nina shughuli zangu ndogondogo.

Awe mwembamba asiwe mnene hata akiwa mnene asiwe na kitambi. Sichagui dini kabila wala rangi. Akiwa anakaa Dar itakuwa vizuri, akiwa ana watoto ama hana haina shida. Awe na umri kati ya 25 na 40.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…