Natafuta Mke

Natafuta Mke

Umwami

Senior Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
123
Reaction score
68
Habari wanazengo...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33
Najishungulisha na biashara kwa sehemu kubwa ya maisha yangu,

Natafuta mke, umri kuanzia 25 na kuendelea...
Kabila siyo kikwazo kwangu

MUHIMU; Naamini katika uwepo wa MUNGU, ila siamini katika dini yeyote ile si uisilam, ukristo, uyahudi, budha, krishna n.k Dini kwangu ni utaratibu wa kuishi kwa upendo na amani kwa jamii husika.

Karibu inbox tuyajenge




Hotep
 

Attachments

  • duh.PNG
    duh.PNG
    7.9 KB · Views: 6
Back
Top Bottom