Natafuta mke

Nawakutanisha

Nawakutanisha
 
Leo ndio nauona huu uzi.
Kumbe mtu akiamua inawezekana.
MwenyeziMungu awaongoze iwe yenye kheri.
 
Aisee kumbe mambo yanawezekana kabisa haya.

Naamini wanachoandika watu mitandaoni wengi sicho wanachokiishi.

Wanawake wanavoishadadia pesa na mikuyenge humu huwezi kudhani kama jf kuna anaefaa kua mke.
 
Mkuu pongezi ulikuwa simple sana,kumbe bado kuna warembo wazuri duniani.
 
Aisee kumbe mambo yanawezekana kabisa haya.

Naamini wanachoandika watu mitandaoni wengi sicho wanachokiishi.

Wanawake wanavoishadadia pesa na mikuyenge humu huwezi kudhani kama jf kuna anaefaa kua mke.
Jalalani hapa unaweza okota mpaka almasi, bahati yako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…