Natafuta mke

Aisee kumbe mambo yanawezekana kabisa haya.

Naamini wanachoandika watu mitandaoni wengi sicho wanachokiishi.

Wanawake wanavoishadadia pesa na mikuyenge humu huwezi kudhani kama jf kuna anaefaa kua mke.
Kabisa kuna kitu nimejifunza hapa!
 
Mkuu umeupiga mwingi sana asee inaonekana ulipata mke anaejitambua sana
 
Kwahyo kumbe na mimi nkitaka mke humu napata vizuri tu
Wewe tu..

Moe soon nakuja kutangaza mke wa pili, lakini wakubwa tu au wajane..
Watoto bado soko lao kubwa. 😂
 
Mkuu naomba na mimi unitengenezee tangazo zuriii kama lako la kutafuta mke[emoji1787][emoji1787]
 
Hahahan
 
Alikua used au bikra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…