Natafuta mke

Natafuta mke

Harry Mapande

Senior Member
Joined
May 18, 2020
Posts
109
Reaction score
363
Sifa zangu-nina mtoto 1,mrefu sana nakaribia ft 6,mweusi,mfanyabiashara mdogo,miaka yangu 40, mkristo,elimu chuo.

Sifa za mke
Awe mkristo,rangi ya asili,miaka 30-40,elimu kuanzia kidato cha 4,hata kama una mtoto sawa.

Karibu PM.
 
Back
Top Bottom