H Harry Mapande Senior Member Joined May 18, 2020 Posts 109 Reaction score 363 Jan 3, 2021 #1 Sifa zangu-nina mtoto 1,mrefu sana nakaribia ft 6,mweusi,mfanyabiashara mdogo,miaka yangu 40, mkristo,elimu chuo. Sifa za mke Awe mkristo,rangi ya asili,miaka 30-40,elimu kuanzia kidato cha 4,hata kama una mtoto sawa. Karibu PM.
Sifa zangu-nina mtoto 1,mrefu sana nakaribia ft 6,mweusi,mfanyabiashara mdogo,miaka yangu 40, mkristo,elimu chuo. Sifa za mke Awe mkristo,rangi ya asili,miaka 30-40,elimu kuanzia kidato cha 4,hata kama una mtoto sawa. Karibu PM.