Try meHuku mwisho kabisa napatwa ma wasiwasi na uzima wako.
SIFA ZANGU
Umri 36
Dini:.Mkristo
Elimu:Shahada ya uzamili.
Ajira:Mwajiliwa wa serikali.
Urefu :172cm
SIFA ZA MWANAMKE
Umri zaidi ya 30.
Dini:Yoyote
Kabila[emoji38]ote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi:Yoyote halali.
NB:Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Try me
Huku mwisho kabisa napatwa ma wasiwasi na uzima wako.
Try me
Hata miezi sita hawanaId mpya mpya ndo zinafunguaga nyuzi kama hizi.mm najiuliza ina maana id za zamani wote wameoa?
Umepata?SIFA ZANGU
Umri 36
Dini: Mkristo
Elimu: Shahada ya Uzamili.
Ajira: Mwajiliwa wa serikali.
Urefu : 172cm
SIFA ZA MWANAMKE
Umri 30-36
Dini: Yoyote
Kabila: Lolote.
Elimu: Diploma na kuendelea.
Kazi: Yoyote halali.
NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.