Abdulazizy
Member
- Jul 14, 2021
- 6
- 4
Sipo hvoNawazaga sana kipengele cha mitala
Tukishaanza chini tukatafuta kwa umoja na bidii
Maendeleo yakapatikana na kuonekana, muda wa kufurahia matunda tulioyapata baada ya uchumi kuongezeka
Unasikia naomba uninyoshee kanzu fulani nanyoooosha kwa uzuri kumbe anaenda kuongeza mke mwingine
Huyo aliyeongezeka Mungu asaidie awe mwema akiwa kivuruge sasa Duuuh nikiwazaga tu.
Nawazaga sana kipengele cha mitala
Tukishaanza chini tukatafuta kwa umoja na bidii
Maendeleo yakapatikana na kuonekana, muda wa kufurahia matunda tulioyapata baada ya uchumi kuongezeka
Unasikia naomba uninyoshee kanzu fulani nanyoooosha kwa uzuri kumbe anaenda kuongeza mke mwingine
Huyo aliyeongezeka Mungu asaidie awe mwema akiwa kivuruge sasa Duuuh nikiwazaga tu.
Kuwa na mke mwenza au kuwa na michepuko ipi bora?
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]