Natafuta mke

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Sifa zangu:
1. Hustler
2. Sina nyumba wala gari
3. Mkulima
4. Monogamous
5. Mkristo.
6. Miaka 26
7. Mweusi; urefu futi 5+
8. Elimu ya kawaida.

Sifa za mwanamke ninayemuhitaji:
1. Kabila: mha, msukuma, mngoni
2. Hustler
3. Aasiwe na mtoto/ watoto
4. Dini mkristo
5. Miaka 22-32
6. Mnene mweusi/ maji ya kunde
 
Huwezi kupata mitandaoni..huku ni pesa yako tu
Tena si pesa tu bali kupoteza muda pia sababu Watu waliopo mitandaoni ndiyo hao hao anaokutana nao mitaani.

Kibaya zaidi Watu wa humu wanaweza kufeki tabia ili kuchangamkia fursa kuliko Watu ambao angeweza kuonana nao ana kwa ana kila siku, wiki, mwezi, mwaka na hata miaka.
 
Mbona kuna waliopata wenzi wao humu na walishafunga ndoa?!
 
@to yeye huku unahitajika
 
Mkuu, nina dada yangu ana miaka 22, anavuta bange, anakunywa gongo, anauza mkaa wa kupima, anasaga gomba na anawatoto wanne kila mtoto na baba yake.
Dadaangu tunamgawa bure, nicheki PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…