Kiev
New Member
- Apr 10, 2022
- 2
- 3
Hbr Jf,
Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
- Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia
- Awe mrembo wa sura
- Asiwe mlevi
- Umri usizidi miaka 28
- Elimu ya chuo na kuendelea
- Asiwe na mtoto
- Mkristo
- Nina umri wa miaka 35
- Situmii kilevi chochote
- Nimeajiriwa, kipato cha kutosha kulea familia pia ni mjasiriamali
- Mrefu wa wastani