Natafuta mke

Kiev

New Member
Joined
Apr 10, 2022
Posts
2
Reaction score
3
Hbr Jf,

Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo:
  • Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia
  • Awe mrembo wa sura
  • Asiwe mlevi
  • Umri usizidi miaka 28
  • Elimu ya chuo na kuendelea
  • Asiwe na mtoto
Sifa zangu:
  • Mkristo
  • Nina umri wa miaka 35
  • Situmii kilevi chochote
  • Nimeajiriwa, kipato cha kutosha kulea familia pia ni mjasiriamali
  • Mrefu wa wastani
 
Kwanza tuambie una kazi gani ili nijue dada angu anaweza pata connection ya kazi pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ