Hapana Mkuu komenti yake imenigusa nikacheka!Antonnia mbona unampea smile sana uyu Mkuu nimekustukia[emoji12]
Afu mbona unataka kunifanya nami niungane nae kutafuta mke humu ndan hiyo Avator inanisumbua akili ilo batasam[emoji22]Hapana Mkuu komenti yake imenigusa nikacheka!
Ni avatar tu mkuu haina uhalisia kabisa na mmiliki avatar!![emoji6]Afu mbona unataka kunifanya nami niungane nae kutafuta mke humu ndan hiyo Avator inanisumbua akili ilo batasam[emoji22]
Kwahiyo kwa kufuata hizo njia zako mkuu ndio ndoa inadumu?inaonekana mkuu umekariri njia za kupata mke.Kama anajitokeza unafiriki utamkubali tu bila ya kumuona na kumchunguza,ni same procedure na ile njia ya kawaida, unakutana na mdada sehemu unamuaproach akikukubali kinachofuata ni kuchunguzana kabla ya kufanya maamuzi ya kuweka ndani,hapa ni meeting point tu,na uzuri wa hapa wanaweza kujitokeza hata 50 ukafanya selection taratibu mpaka ukampata muhusika,tofauti na kule mitaani ambako itakugharimu muda,energy na hata pesa......Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako
Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke
Umri sio akili
Wewe hujitambui
Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni
Swadakta umeniondoa wasiwasi, Ila next time weka 3rd class kama akina Zuchu na Angela tu.Ni avatar tu mkuu haina uhalisia kabisa na mmiliki avatar!![emoji6]
We jamaa Mchumi kweli[emoji849]Kwahiyo kwa kufuata hizo njia zako mkuu ndio ndoa inadumu?inaonekana mkuu umekariri njia za kupata mke.Kama anajitokeza unafiriki utamkubali tu bila ya kumuona na kumchunguza,ni same procedure na ile njia ya kawaida, unakutana na mdada sehemu unamuaproach akikukubali kinachofuata ni kuchunguzana kabla ya kufanya maamuzi ya kuweka ndani,hapa ni meeting point tu,na uzuri wa hapa wanaweza kujitokeza hata 50 ukafanya selection taratibu mpaka ukampata muhusika,tofauti na kule mitaani ambako itakugharimu muda,energy na hata pesa......
HahahaaToa sifa zako!
Hutaki kibonge afu una kutambi kama mimba
Unataka mweupe wakati wewe mweusi
Umesoma???
Mke atafutwi mtandaoni acha upumbavu
Sifa zangu mie atakuja zipata atakae kua tayari na ndo maana sikusema atakaekua teyar ainishe sifa zake watu wazione hapana imekua like a confidential..Okay??Toa sifa zako!
Hutaki kibonge afu una kutambi kama mimba
Unataka mweupe wakati wewe mweusi
Umesoma???
Mke atafutwi mtandaoni acha upumbavu
Akalale tu hahusiki ndo maaanaMbona makasirikio kamanda? [emoji16][emoji16][emoji16]
KabisaMijinga kama nyie ndio mnatukwamisha, mnakuwa primitives sana , sasa unadhani mtandao hauna mchango wa kupata mke?
Ndo unavyosema kwahiyo sikuiz umekua mtabili wa mambo????Hahha wewe ndio upo primitive mkuu! Hiyo ndoa haiwez kudumu wala huwezi kupata mtu sahihi, labda kama unataka mzinzi mwenzako
Afu acha kujibu kwa mhemuko! Nyie ndio mijinga inayo ongea bila kujua taratibu za kutafuta mke
Umri sio akili
Wewe hujitambui
Au fanya akuoe tujue ndoa yako ulipata mtandaoni
Hakuna anaeweza kunitapeli umeambiwa mie mtoto wa primary [emoji23]Mmmm...mke mtandaoni...bro utatapeliwa...wanawake wamekuwa matapeli kuliko hata wanaume
Hakuna anaeweza kunitapeliMmmm...mke mtandaoni...bro utatapeliwa...wanawake wamekuwa matapeli kuliko hata wanaume
Pole, ila usiwe disappointed mungu n mwema sanaMaskini chibonge mimi
Hapana ni maamuz tu mkuuuuHili baridi ndio limesababisha yote haya. Kila la heri
Mie ndo mapendeleo yangu nataka tukiwa ndani basi nisiwe na haja ya kioooUtapata ila weupe siyo sifa miaka hii, weupe unanunuliwa madukani.
Ila cha singo maza naona kwako siyo kipengele mjukuu wangu.
Atakaekuja ndo atanijuaWe mwenyewe sifa zako je???