Natafuta mke

Hr01

Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
35
Reaction score
38
Naitwa Samweli
Naishi Moshi
Kabila Mchaga
Umri 35

Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7 namlea mwenyewe kwasababu mama yake alishafariki kwa ajali. Nahitaji mwanamke atakayekua mke wangu, atakayenipenda mimi na mwanangu pia.

Awe na umri 22-33, mwenye hofu ya Mungu, na aliyetayari tujenge mahusiano na familia. Kama yupo mwanamke aliyetayari, mwenye uhitaji anicheki DM.

Karibu sana.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
We kweli zoba unatuandikia wanaume uzi km huu? Unatuonaje? Katafute jukwaa la wanawake tu.
 
Mcheki dada mmoja hapa sophy27 huyu ana ngekewa ya kupendwa na watoto, naamini atakuwa the ryt woman for u
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Bwana samweli your welcome
Jimbo likowaz kabisa Mzabzab kalishindwa kaona akuachie ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ila Dah
Aya ushindwe wewe sasa...ila nakuachia ujumbe huu uendee nao kwa bwana samweli.
 
Kama umeshindwa kuwapata unaonana nao live utawezaje kuwapata ambao huwaoni?

Sijui kwanini siamini katika kupata mke mtandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ