πππ me bado mdogo lakini
Ukoo wetu hakuna under eighteen. We mkubwa.πππ me bado mdogo lakini
Mfanyie wepesi mwenzioUnaonekana unauhutaji sana pole ningekuwa na mtu namfahamu ningekuunganisha
Sio Mimi ila nimemuonea huruma tu kulea mtoto baba pekee ni kazi sanaMfanyie wepesi mwenzio
Na mimi rejea uzi huu..Polesana
πππKwamba ndo nizame pm au sioπNa mimi rejea uzi huu..
Unachelewa nn sasa.. Agghh bwana.. Nitawahiwa..πππKwamba ndo nizame pm au sioπ
ππSasahiv nakujaUnachelewa nn sasa.. Agghh bwana.. Nitawahiwa..
Jina: Samweli
Eneo: Moshi
Kabila: Mchaga
Umri: 35
Nina mtoto mmoja wa kiume umri miaka 7, namlea mwenyewe kwasababu mama yake alishafariki kwa ajali.
Nahitaji mwanamke atakayekuwa mke wangu, atakaenipenda mimi na mwanangu pia.
Awe na umri 22-33, mwenye hofu ya Mungu, na aliye-serious tujenge mahusiano na familia.
KAMA YUPO MWANAMKE ALIE SERIOUS MWENYE UHITAJI ANICHEKI DM. KARIBU SANA.
ASANTENI[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app