Natafuta mke

Natafuta mke

marundoo

New Member
Joined
Jul 22, 2022
Posts
3
Reaction score
2
Salaam,

Natafuta rafiki ambaye ataenda kuwa mke wangu. Nina miaka 34, ni mkazi wa Arusha, awe na miaka kuanzia 25 mpaka 32, Mkristo, kabila lolote.

Kwa aliyetayari na mhitaji karibu PM kwa mawasiliano zaidi.

Asante.
 
Back
Top Bottom