Mimi ni kijana 30 years, nna kazi, ni mkristo, mweusi, mrefu natafta mwanamke/mchumba/mke....awe na sifa:-
-mkristo/awe tayar kubadili dini kuwa mkristo kama yeye sio mkristi
-umri uwe hauzidi miaka 33
-Awe tayar kuishi mkoa wowote kulingana na fursa tutakazozipata za maisha(asiwe mtu wa lazima aishi mkoa fulani).
-Less drama
Kwa aliyetayar DM me.