Natafuta mchumba atakaye kuwa mke wangu.
1.Awe ana hofu ya Mungu.
2.Elimu atleast form 6 (hata ukiwa na PhD).
3.Awe na akili za maisha na shughuli ya kumuingizia kipato.
4.Awe na shape/figure.
5.Asiwe na mtoto.
Age (25-32)
Mimi nina miaka 33 nina kazi yangu nzuri tu ya kukutimizia mahitaji yako ya MSINGI kama mwanamke.
NB:Ukijua unatabia za slay queens kaa pembeni.