Natafuta mke

ManCity

Member
Joined
May 19, 2011
Posts
40
Reaction score
14
Jamann...

Mie mwenzenu umri unakaribia kunitupa...sasa nahitaji wife wa kuishi nae ..

Yeyote mwenye contacts za msichana mzuri, tall, midweight (60-70kgs), any natural colour, educated ani PM...

Cna tatizo kuhusu background yake, mana najua ni historia ntamkubali kama alivyo...

Location: Nipo DSM


Please uni-PM
 
naomba financial statement ya 2010 please afu nikwambie kitu.
 
duhh!!! hiyo kali kutaka kujua financial statement kwanza unatisha mwenzetu.:hatari:
 
mancity ni pm maana nataka kuanza mwaka mpya na kitu kipyaaaaaaaaaaaaa
ila ilo la kongosho muhimu unaweza kuattach cash flow yako ya miezi mitatu ya karibuni ikinionyesha cash from investing activities? icho kipengele kwanza
 
ungejielezea na ww upoje ingekuwa vzr zaid yan.
 
Mambo muhimu hujataja, umri wako, makazi yako, asili yako, au unataka ndoa ya siku mbili tatu tu za mwaka mpya?
 
Describe huo uzuri unaoutaka mwaya......

Uzuri ni mvuto wa asili na siyo wa dukani kivile..asiwe amejichubua uso..natural colour muhimu..

But most of all napenda awe na tabasamu zuri sana...
 
Mambo muhimu hujataja, umri wako, makazi yako, asili yako, au unataka ndoa ya siku mbili tatu tu za mwaka mpya?


MamaMkwe. naishi DsM-Ilala, Umri: Abt 30yrs: Asili-Sukuma: I am a Christians huwa hatuna ndoa za siku mbili: Current employed+Small Business Manager
 
Yani unaeza kosa mchumba mpaka uje utangaze hapa? Hapa ni kama kimbilio la mwisho. Mdau wewe umekosa kabisa mchumba huko mtaani, ofisini, jirani, hata ....
 
Jamani akina dada changamkieni dili hilo, sikuhizi waoaji si wengi.
 
Uzuri ni mvuto wa asili na siyo wa dukani kivile..asiwe amejichubua uso..natural colour muhimu..

But most of all napenda awe na tabasamu zuri sana...

Hapo atleast watakuelewa, kila la kheri mkaka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…