Natafuta mke

Humu si huwa ninasikia hakuna wasichana, ni mashangazi na wake za watu tu
 
Kuliko hata chakula jamni 😀😀😀
Si mnavunga tu 😂 😂😂
Sema Kama jamaa anataka serious relationship ambayo itamletea Ubavu wake asitumie mtandao anaonekana hayupo serious. Ataonekana ndio wale wale Hit and run
 
Si mnavunga tu 😂 😂😂
Sema Kama jamaa anataka serious relationship ambayo itamletea Ubavu wake asitumie mtandao anaonekana hayupo serious. Ataonekana ndio wale wale Hit and run
Kweli kabisa watu wengi mtandaoni tunaonekana sio wakweli japo wachache wenye bahat kupata
 
@

fighter19 waliomo humu JF ndio wale wale wa mtaani kwako. Sema humu ni wajuaji halafu wanajifanya kama hawataki ndoa kumbe wanazitaka kuliko hata chakula 😂😂😂
Nitegemea kukutana nao humu inaonekana dada yangu anawakubali maHB na wazee wa six packs.
 
Si mnavunga tu 😂 😂😂
Sema Kama jamaa anataka serious relationship ambayo itamletea Ubavu wake asitumie mtandao anaonekana hayupo serious. Ataonekana ndio wale wale Hit and run
Kweli aisee!! Msemaji wa wanawake wa jf kasema nani apinge!!..
 
@

fighter19 waliomo humu JF ndio wale wale wa mtaani kwako. Sema humu ni wajuaji halafu wanajifanya kama hawataki ndoa kumbe wanazitaka kuliko hata chakula 😂😂😂
Na ubaya wengi hawakidhi vigezo hivyo sasa vya kuwa wife material so sad asee
 
Mkuu.
Wenye sifa hizo wote wameshaolewa au kuchumbiwa.
Yamebaki manungayembe, au labda ushushe umri uwe kuanzia 22 mpaka 24 halafu uongeze mkoa wa Tanga na Iringa.
Ila kwa Dar tu labda Kama hutojali mwenye watoto au aliyekwisha kutoa mimba.
 
Leo kwa Mwamposa ukienda pale unapata type zote zipo pale mizigo,mishape kibao.

NB:Ila pale kupata mke mwema ni sawa na kubet mkeka wa timu 20 kwa jero.
 
1. Unatafuta wanawake 7 tofauti,
2. Mke awe na PhD Vs wewe degree ya IT? Unaonekana unapenda mteremko.
3. Shepu na PhD mbona haviendani?
 
Attachments

  • umwari_mwiza_1677179547503317.jpg
    93.1 KB · Views: 9
  • neria_fumane_official_1671062387837611.jpg
    201.1 KB · Views: 8
  • zulu_ssbbw_1669411312998904.jpg
    101 KB · Views: 9
1. Unatafuta wanawake 7 tofauti,
2. Mke awe na PhD Vs wewe degree ya IT? Unaonekana unaoenda mteremko.
3. Shepu na PhD mbona haviendani?
Mpaka umri huu sijawahi kula hela ya mwanamke, ndio maana nimeweka atleast 4m4 na kuendelea,sijaweka fixed kusema PhD nazani umenielewa na sina njaa hizo mpaka nimefikia hatua hii najua mimi ni nani na wajibu wangu ni upi.
 
Nenda pale Kona baa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…