Daaahππ.Nenda pale Kona baa
Acha avatar ya babe wanguKumbe ehh
Nipo zaidi ya serious.Yaani hampo serious
Katetest zali lako inaweza ndio ikawa ticket yako ya kuolewa shauri yako.Yaani hampo serious
Mkeka wenyewe mechi 20 kwa jero.Una bet mpaka kwenye Mambo ya familia?!
Tanzania imekwisha......
Hapo una bet.........
Usipate mtoa 0713,
Usipate x-changudoa,
Usipate mmakonde,
Usipate aliye toa mimba,
Usipate flat screen,
Usipate mwenye watoto,
Usipate wa Mbagala,
Usipate muha,
Usipate mcheza vigodoro.
Uwii hamnaga utakuta anataka kulelewaKatetest zali lako inaweza ndio ikawa ticket yako ya kuolewa shauri yako.
Jaribu dada yangu kama vigezo unavyo huwezi jua may beeeee ........ ujue nimekuweka kwenye maombi ili uolewe na ww .........Uwii hamnaga utakuta anataka kulelewa
AsanteeJaribu dada yangu kama vigezo unavyo huwezi jua may beeeee ........ ujue nimekuweka kwenye maombi ili uolewe na ww .........
Utanenepa mbele kwa mbele bana π€£π€£My wangu my wangu nitoe wapi shape sasa
Hakuna binadamu asiye kua na shape.My wangu my wangu nitoe wapi shape sasa
Anayetaka atakuja then kuna video call na tuta exchange picha.
Nimekutapeli nini mbona unataka tuharibiane mood........ na kuheshimu sikujui hunijui naomba tuheshimiane kama haupo interested unaweza kupita.Wacha utapeli
Nimekutapeli nini mbona unataka tuharibiane mood........ na kuheshimu sikujui hunijui naomba tuheshimiane kama haupo interested unaweza kupita.
Imagina unakutana na kina sisi vifupi vinene πππHakuna binadamu asiye kua na shape.
Suala Ni, je shape uliyonayo inampendeza mtarajiwa wako?
Binafsi napenda wanawake warefu wembamba, hawana gubu, hawana majibu ya ovyo halafu Nina uhakika wa kupata watoto warefu.
Kuna sehemu nimesema nina fedha au ndio unawashwa.Ungekuwa na muonekano wangekushobokea na hio elimu au pesa unazosema uko nazo
π π π π π π π Daaaah aseeeKatetest zali lako inaweza ndio ikawa ticket yako ya kuolewa shauri yako.