Natafuta Mke

ilmJ

Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
37
Reaction score
6
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 30-40
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea.
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu.
5.Awe Mkristo

Mimi;
1. Nina Diploma ya Ualimu
2. Ninakazi yangu ambayo inanifanya niwe na uwezo wa kuihudumia familia.
3. Nina miaka 37
4.Nina mtoto 1

NB: Ningependa kweli nipate mwanamke anayeijua na kuielewa taasisi ya ndoa na familia na atakayeweza kuviishi viapo vya ndoa.

Kwa walio 'serious' tukutane PM.
 
Ticha anatafuta mke, kashoka kukapeke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…