Natafuta mke

Si useme tu awe na hela ukadange. Kitu fulani gani? Gunia za mkaa?
 
Anazuga muongo 🤣🤣🤣🤣
Ndio vitu vyake hivo da mau
 
Yaani umeukariri🤔🤔🤔?hata hivyo Gigy Hana akili ya kuandika huu ujinga lazima aliandikiwa..
🤣🤣🤣🤣 Sis hebu tulia kwanza, mchukue shem huyo anaonekana ana ulisi wa kushato ni ww wa kuzitumia unahitajia.!!
 
🤣🤣🤣🤣 Sis hebu tulia kwanza, mchukue shem huyo anaonekana ana ulisi wa kushato ni ww wa kuzitumia unahitajia.!!
Tumeshaanza mazungumzo ya awali,, nitakuletea mrejesho
 
Uzi kama huu angeleta jinsia ke ndio mngeona dunia haina usawa
Angekutana na kila aina ya kejeli

Nwei,kila la heri

Kwanin unafikiri hivyo?kila mtu anahaki ya kusema apendalo.Pole kama walikubuuul
 
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa, awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo.

Umri wake usizidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana.
 
Kila la kheri.

NAAMINI VIKONGWE MTACHUNGUZANA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Bado unahangaika tu father..?
Endelea kupambana, watakuja tu.
 
Dar kugumu yaani miaka 60 bado tu ujaoa unatafuta ndoa ukiwa na miaka 60 ukae na dem miaka 40 then ufe.
 
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa na awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo umri wake usiZidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana
Mke hatafutwi ndugu yangu ukiona unatafuta mke jua bado hauna sifa ya kumiliki mke. Mdogo wangu jipambanie kwanza,jitafute halafu watakusumbua kama nzi kwenze bucha la nyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…