Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,536
Mimi nina kaziawe na kazi? we kazi unayo au mtatumia ya mkeoπ
kila la heri mwaya, Mungu akupe unachostahili
Kwa vile umetangaza ndoa kabisa makinika mno na watakaojitokeza maana wataficha tabia zao halisi. Zile zenye mapungufu makubwaNahitaji Mke aliye serious kuolewa.
Mimi nina miaka 36
Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...
Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.
Kabila lolote.
Aliye tayari karibu PM
Mkuu,rekebisha hapo juu,huwezi kuhitaji Mke bali utahitaji Mwanamke ili aje kua Mke,Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.
Mimi nina miaka 36
Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...
Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.
Kabila lolote.
Aliye tayari karibu PM
Mkuu,rekebisha hapo juu,huwezi kuhitaji Mke bali utahitaji Mwanamke ili aje kua Mke,
Mke ni yule ambaye yupo ndani ya ndoa,
Au mimi ndio sielewi!
Mshana, mimi ni Mtaalam wa kumsoma mtu hata kwa kumwangalia machoni tu namjua,Kwa vile umetangaza ndoa kabisa makinika mno na watakaojitokeza maana wataficha tabia zao halisi. Zile zenye mapungufu makubwa
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa.
Mimi nina miaka 36
Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...
Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.
Kabila lolote.
Aliye tayari karibu PM
Hivi vigezo vimenikosesha Mume!!Nahitaji
Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani
Hayo yote nayajua, naelewa sanaNa wewe pia ujue kwamba naye kwao hayuko peke yake ana ndugu unatakiwa pia uunganishe na ufanye mawasiliano nao
Acheni ubinafsi wanaume wenzangu
poor youππππHivi vigezo vimenikosesha Mume!!
sikuhizi watu wanatafuta business partner mkuuUnatafuta mke au unatafuta mtu wa kuingia ubia muanzishe biashara au chama cha siasa pamoja?
Mbona sifa nyingi.
Jenerali na familia yake wanatafuta mke.....π Mi ndio nimeelewa hivi etiNasubiri comment za To yeye Lamomy binti kiziwi Evelyn Salt
Maoni yenu ni muhimu sana hapa kwa kijana wetu.
Safi sana mwamba,laki asiwe mnene sana.
Unafanyikia PMusaili unafanyika wapi nije na cv zangu.?