Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,536
- Thread starter
-
- #21
Umeeleweka...Jenerali na familia yake wanatafuta mke.....π Mi ndio nimeelewa hivi eti
Anataka mimi kama mke nimfanyaje?Nasubiri comment za To yeye Lamomy binti kiziwi Evelyn Salt
Maoni yenu ni muhimu sana hapa kwa kijana wetu.
Amekosea tu π€£π€£π€£Anataka mimi kama mke nimfanyaje?
π€£π€£π€£ndiyo nauliza broAmekosea tu π€£π€£π€£
pm tuambatanishe na vielelezo ganiUnafanyikia PM
Vielelezo tajwapm tuambatanishe na vielelezo gani
Your self golden chance is waiting for You π€£π€£π€£π€£All the Best
Huyo anatafuta kitonga hakuna mume hapo jirani π€£π€£π€£π€£Nasubiri comment za To yeye Lamomy binti kiziwi Evelyn Salt
Maoni yenu ni muhimu sana hapa kwa kijana wetu.
Asante sanaHuyo anatafuta kitonga hakuna mume hapo jirani π€£π€£π€£π€£
Mimi ndio ninayefanya vetting ya Mke anayemtaka Sifa keshaziweka tuma maombi, halafu ukifika kwenye vetting nitakupitisha Wewe πππHuyo anatafuta kitonga hakuna mume hapo jirani π€£π€£π€£π€£
Safi kabisaMshana, mimi ni Mtaalam wa kumsoma mtu hata kwa kumwangalia machoni tu namjua,
πAsante sana
Lamony unitake radhi...Huyo anatafuta kitonga hakuna mume hapo jirani π€£π€£π€£π€£
ππππ Akhu! Muoaji mwenyewe hajaweka sifa zake tuzione ili tujiridhishe..!!Mimi ndio ninayefanya vetting ya Make anayemtaka Sita keshaziweka tuma maombi, halafu ukifika kwenye vetting nitakupitisha Wewe πππ
π€£π€£π€£π€£ sawa mkuu, tatizo hujaweka sifa zako, umeweka za malaika tu unayemtakaLamony unitake radhi...
tembelea kawe kanisani au mahala pengine anapohubiriwa mfalme wa falme Yesu Kristo, siku za maombi na maombezi na sadaka kidogo tu, nawe utapokea nia, haja na kusudi la moyo wako mapema sana tena bila kuchelewa πNahitaji Mke aliye serious kuolewa.
Mimi nina miaka 36
Mkiristo.
Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu nyumbani kwetu, kuna ndugu zangu wengine ambao itabidi angalau mawasiliano mazuri yawepo, nimebaki na mama tu anatakiwa kujua kuwa nina Mama mzazi so, mawasiliano na kumjulia hali, sio mpaka nimwambie, angalau mke mshauri mzuri...
Awe na kazi, mzuri wa tabia, sura na umbo, mrefu wa wastani laki asiwe mnene sana.
Kabila lolote.
Aliye tayari karibu PM
Kama zipi sasa, mcheza muziki ndiye anayechagua aina ya muziki anaoutakaπ€£π€£π€£π€£ sawa mkuu, tatizo hujaweka sifa zako, umeweka za malaika tu unayemtaka
Vzr kabisatembelea kawe kanisani au mahala pengine anapohubiriwa mfalme wa falme Yesu Kristo, siku za maombi na maombezi na sadaka kidogo tu, nawe utapokea nia, haja na kusudi la moyo wako mapema sana tena bila kuchelewa π
mtihani utabaki kwako kuamua Nuru au giza π