natafuta mke

natafuta mke

mshana org

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
2,091
Reaction score
619
habari jf.mimi ni kijana umri wangu kati ya 26-30 natafuta mke wa kuoa awe muislam mwenye heshima awe anaswali walau hata ijumaa.awe na upendo wa dhati pia awe anajua nini maana ya maisha sio awe wa kuweka starehe mbele.umri wake 19 -25 sichagui kabila wala elimu.plc niko serouse
 
Back
Top Bottom