Natafuta mke!

Bhavick

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
314
Reaction score
57
Nina miaka 31,ninaishi Mbeya na kufanya biashara hapa hapa Mby.natafuta binti atakayekuwa mke wangu mpenzi.awe mkristo,
 
wasubili hapa watakuja.
Ila nakushauri weka na private email yako hapa ili iwe rahisi kumpata wa ukweli.
 
ungeweka na picha kabisa wapo wadada kibao tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…