Natafuta mke

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mimi ni kijana, umri miaka 34, nafanya kazi Dar es Salaam, Mkristo, natafuta mwanamke atakayekuwa mke wangu napenda awe umri kuanzia miaka 28 na kuendelea, mwenye hofu ya MUNGU, mkristo, na anayependa kujibidisha katika maisha, hata akiwa na mtoto tayari si mbaya, awe tayari kupima UKIMWI.. Please only SERIOUS LADIES INVITED unaweza kuni-PM kwa joshua_ok
 
Ondoa shaka mke umepata,niPM ewe mume mtarajiwa!
 
Huyo mke wa kumtafutia humu mbona utajuta?kama mtakubali familia nzima kuanzia wewe,huyo mkeo na watoto mtakaowazaa kuajiliwa na Bill Gates sawa!
 
Hehehe yatakuja magumegume mpk ushangae
 
Mbona hujatuambia na na a/c yako ina shling ngapi?
 
Senetor na ww unataka ku-apply?

Ndugu msaka mke, ungeulizia na cheti cha kuzaliwa. Mie kaumri kamesogea, ila nahisi kongosho na purple wamekuzidi umri. Mtafute loya wa Lulu Kanumba...
 
Go---to----love------connect
 

Du!chance nimeikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…