wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo:
1) Awe na sura ya kuvutia (namba 8) na rangi ya ngozi asili
2) Elimu kuanzia Masters na kundelea
3) Awe tayari ameamua na kuelewa maana ya kuwa mke
4) Mcheshi, asiye na nyodo,mwenye mapenzi kwa watu wote
5) Mwenye uwezo wa kushauri na kushawishi
6) Awe na kazi au mfanyabiasha
7) Umri usizidi miaka 30, medium height and weight, awe Mchagga au Mmeru au Mmasai
Vigezo vyangu
Mimi ni mrefu, maji ya kunde,mcheshi na napenda utani, nina elimu ya kawaida, napenda watu na kusafiri, nina miaka 36 ni mfanya kazi, pia nina biashara Moshi na Arusha.
wenye nia ya dhati tafadhali waniPM