wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
mmmmh kuna haja ya kurudi darasani kumbe!!!!
Number nane kwangu ni msichama kama kim kardashian ; elimu ya kawaida ni ya degree ya uzamili kwenda juu.Hebu nijibu haya maswali hapa chini
-Hiyo # 1 inakuwaje hiyo sura namba 8
-Elimu ya kawaida ni ipi
Najua una vigezo vyote ninavyotaka ila unanibania. Kitu cha kawaida kwangu siyo lazima kiwe hivyo kwako. Kwa uze wangu huu muda wa kumtengeneza umekwisha. Siyo wote wenye vigezo ninavyotaka wameishachukuliwa, Nitakomaa na nyie huku huku JF mpaka mnikubaliGoshh..you are too selective!!!
Hmmmmmm we yako ya kawaida.. Af unataka ova size!!!mweee
wengi wa sifa izo are already taken..
Huyo umtengeneze mwenyewe...
Ila don luz ops..keep n prayn...
Kwa wewe charminglady huna haja ya kurudi shule, hekima na busara yako ni zaidi ya masters. WW ni PM tusawzisheUmeona eeeh.... na uzee wote huu afu eti urudi xul!!!!!!
Hayo ni makosa ya kawaida tu mpenzi. Nisamehemke anakuwa keshaolewa, sasa vip wewe unatafuta mtu aliyeolewa?
Huna haja ya kubadilisha kabila wala nini, jifunze kichagga au kimeru na utakuwa umequalify.Sijui wapi wanabadilisha makabila!! Nataka nibadilishe hili kabila ili nikidhi vigezo..
Huna haja ya kubadilisha kabila wala nini, jifunze kichagga au kimeru na utakuwa umequalify.
Umeona eeeh.... na uzee wote huu afu eti urudi xul!!!!!!
Najua una vigezo vyote ninavyotaka ila unanibania. Kitu cha kawaida kwangu siyo lazima kiwe hivyo kwako. Kwa uze wangu huu muda wa kumtengeneza umekwisha. Siyo wote wenye vigezo ninavyotaka wameishachukuliwa, Nitakomaa na nyie huku huku JF mpaka mnikubali
mimi siyo mmeru bali Mhaya wa Katoro . Financial statement sio muhimu ila elewa kwamba nalipa VAT kwa kila biashara yanguuna ela?maaan hiyo masters sikuipata kilelemama ati? ni.pm annual financial report yako ya 2012 mana nakidhi vigezo vyote.ila kipigo cha kimeru?!
Ndiyo maana tunatofautiana eti. Form six inaweza kuwa bonge la elimu kama kwenye kijiji chako wewe tu ndiye unayo, lakini huku kwetu katoro PHD ni za kumwagamasters ni elimu ya kawaida....sio tuliodrop form five sjui utatuitaje?lol