Natafuta mke

Blaza Musa

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
28
Reaction score
5
miaka 25-30
elimu kuanzia kidato cha nne
asiwe mlevi
awe mkristo
asiwe amezaa
awe tayari kuishi dar au Mbeya

NB-kama upo serious niPM
 
wake hawatafuti. wewe tafuta marafiki then ikitokea mumelewana na mmoja wao. then unaongea naye umwambue utafikiria
 
Mbona ujasema awe na tabia gan..ata kama kahaba ilimradi anasifa hizo?
 
Mbona ujasema awe na tabia gan..ata kama kahaba ilimradi anasifa hizo?

Siamini kama kunaweza kukawa na kahaba humu na pia hata nikisema sitaki kahaba sidhani kama kuna anayetaka kuolewa atasema mimi nataka kuolewa lakini ni kahaba.Nadhani umenielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…