karibu sana jamani mbona sasa umeandika kwa woga hivyo me nina 43 sitanii,nafaa jamani ?
Kaandika kwa upole anaficha makucha, subiri ayaachie!
umejuaje?halafu hawa unakuta wana nanii kama nini
We hushangai miaka 45 ndio anatafuta mke??? mmmh majanga tu hapo
Kwani happiness win hutafuti mume?
Huwa naku-love kidizaini.
Mm ni mwanaume,umri wangu miaka 45,najitokeza nikiwa na dhamira kubwa ya kutafuta mke.
vua basi hilo sweta lako nikupe hug ya nguvu