Habari,
Mie nimfanya biashara za kawaida.
Kabila Mmanyema mwenye asili ya Kigoma
Nipo Zanzibar kwa miaka kama 12.mwanzo niliajiriwa kisha nikajiajiri mwenyewe.
Nia watoto wawili wote wapo Dar kwa Grandparents wao wanasoma.(9 and 6 yrs)
Umri wangu 31
Nilikuwa nataka mwanamke wa kuoa kwa vigezo vifuatavyo
-Awe mnene,bila kuangalia size,hata kama mnene vipi ndio my taste.
-Awe ameishaolewa na kuachika,kwa huku Zanzibar wanaita Mjane
-Au awe amefiwa na mmewe
-Umri wowote,ila isiwe chini ya miaka 25 na isiwe zaidi ya miaka 54
anaweza kuwasiliana namie kwenye email
thetiptop@outlook.com