Natafuta Mke

gache

New Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
2
Reaction score
0
nafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu siku za usoni mwenye umri kuanzia 22 mpaka 40 sichagui kabila wala rangi umri wangu ni miaka 30 lakini sina kazi wala kipato elimu yangu ni secondary
 
nina imani utapata....Mungu akujalie
 
Unaishije bila kipato? Wewe sema kipato chako ni kidogo ila hayo ni maisha ya wengi wetu nakutia moyo ndugu utapata tu.
 
Umejaribu makanisan umekosaa??Mbona wale wa msikitin wameoana sn juz tu hapa kabla ya huu mwez wa haki kuanza?????Dogo kwa miaka 30 haujapata mke/mchumba mpaka uje kutangaza huku!!??Nina mke na small house nitafute nikupe kozi ya kuwapata au sikiliza kwa makin nyimbo ya diamond feat ney
 
Mkuu hilo ni janga la taifa.
Unarudisha nyuma maendeleo ya taifa. Jipange upya.

nafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu siku za usoni mwenye umri kuanzia 22 mpaka 40 sichagui kabila wala rangi umri wangu ni miaka 30 lakini sina kazi wala kipato elimu yangu ni secondary

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaka usijali, wapo hata madada wanaotafuta wanaume kwa hali na mali. We subiri tu utapata atakayekufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…