Nenda benk zifuatazo NBC,ACB,au Accesses onana na maafisa mikopo . peleka salary slip yako ya miezi mitatu na barua ya mwajiri wako. watakukopesha hata mara kumi ya mshahara wako kwa sharti kwamba mshahara wako wa mwezi upitie kwao. ni rahisi tu
Huyu mwajiri itabidi akusainie fomu ya makubaliano kati yako na Bank ..
au hapo atakataa pia?
Pole, hii na mie ilinitokea mwaka juzi. Bosi alikataa kabisa, badala yake aliona aniongezee mshahara kiasi kilekile ambacho ningekatwa kwa mwezi. Access wanatoa lakini uonyeshe hati ya nyumba, shamba, biashara au mifugo au kadi ya gari afu wanaanzia hela ndogo sana. Wengine Sero ila hizi bank zote zinataka barua na signature. Mi nimejifunza kuweka taratibu.[/QUOTE]
Hongera kwa kuweka kibubu chini ya uvungu wa kitanda chako !!!. Ukienda pale Twiga Bancorp, kama ni mfanyakazi wa serikali jibu liko wazi,ni vigumu kukupata ukihama kituo chako cha kazi,vinginevyo nenda Twiga wako vizuri na riba zao afadhali.
Acheni kamba jamani. Mnatoa masharti utafikiri nyie ni ma-benki? Jamaa hata hajasema anataka kukopa kiasi gani? Wacheni roho za korosho, mkuu nenda Benki kama jamaa moja hapo juu alivyosema then angalia masharti yao, vile vile kiasi unachotaka kukopa kitakuwa kigezo kikubwa cha wao kukuambia wanahitaji vitu gani.
Acha hizo Malila, unajua mara nyingine mtu unaenda kuomba mkopo kwa kitu ambacho unaweza pia kufanya kwa kutumia mapato yako tu ila kwa kuona urahisi unataka hela ya haraka. Sasa mie nilipoulizwa vizuri nilielekezwa bora utumie mshahara. Halafu mleta mada awe open atapata ushauri mzuri, mkopo kiasi gani na unafanyia au kununua nini. Siku hizi kuna bank na hata watu wanakopesha hela kwa watu binafsi. Kuhusu kuwa mwajiriwa wa serilkali sidhani kwani uko mie sijawahi kusikia wanakataliwa signature.
Asante ndugu yangu Nguli sasa naweza kupatikana ni PM tuABEDNEGO has chosen not to receive private messages or may not be allowed to receive private messages. Therefore you may not send your message to him/her.
If you are trying to send this message to multiple recipients, remove ABEDNEGO from the recipient list and send the message again.
Sasa mtu akitaka kuwasiliana na wewe kwa PM atumie njia gani??
ABEDNEGO amenena....!
nimepata tabu kweli kukopa kwenye benki zetu....!
labda uwe INDIAN ndo watakupokea kwa mikono miwili-miwili na utapewa double-share....!
zunguka na kapu la pesa huku ukiweka na kuzitoa.....wenyewe wanasema unatengeneza BANK STATEMENT nzuri...!