Nakushauri utafute kwanza collateral, kwa mshahara wako nunua kiwanja kipime ili upate hati, collatral ya kiwanja au nyumba benki wanaziamini sana. Ukienda benki na hiyo hati ya kiwanja na salary slips zako utakuwa kwenye nafasi nzuri ya kupata mkopo. Njia ya pili anzisha biashara yoyote hata kama ni ndogo, ukienda benki tayari unabiashara na una kitu ya kuweka dhamana utapata mkopo kirahisi.