Natafuta mkopo wa fedha au vifaa

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Habari za kwenu
Nina start up biashara, natafuta mtaji wa kuongezea wa 3 up to 5 mill au vifaa (machine za biashara) kutoka kwa taasisi au mtu yeyote ambaye anatoa mkopo kwa biashara zinazoanza (START UP).
Natanguliza shukrani kwa maoni na info.
thanks.
kijana
 
Utapewa mashine ya kufulia nguo kumbe unahitaji mashine ya kufyatua matofali. Jipange uje na taarifa kamili tujue namna ya kukusaidia kijana.
 
Mashine za aina ipi Mkuu? maana hata Dushelele ni German mashine!.......tukupe?
 
Nimewaelewa wakuu, thanks...Nahitaji OVEN Machine kwa ajili ya kupikia mikate.
 
Oven machine kaka kwaajili ya kubake mikate..
 
Mashine za aina ipi Mkuu? maana hata Dushelele ni German mashine!.......tukupe?

Umenichekesha mkuu anaomba mashine isiyokuwa na jina, wewe ukaona basi umpelekee moto.........:A S-confused1:
 
Nimewaelewa wakuu, thanks...Nahitaji OVEN Machine kwa ajili ya kupikia mikate.
kama una collateral, tin no, leseni nenda benk kachukue mkopo, siku hz kupata mkopo si kazi kama zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…