Mrekebishaji
Senior Member
- Mar 19, 2009
- 168
- 63
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.
Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.
Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.
Natanguliza shukrani.
anaelipwa mil 3.6 hawezi kua na mwandiko huu..
unless otherwise utuambie na kazi unayofanya...
Hahahahah.. Asante blazaaa, ajieleze vema.
hahahaha afungukeee
blazaaa hope upo vema pia
Sana tu babu.. Tunasogeza jahazi kibabe.
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.
Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.
Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.
Natanguliza shukrani.
Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.
Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.
Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.
Natanguliza shukrani.
Mzee wa kuacha na huwa hurembi nakukubali sanaWatu wengi humu mnaongozwa na ushabiki. Mi sijaona alichokosea hapo. Aseme anafanya wapi kazi au atamwambia yule atakayekuwa radhi kumkopesha?
Ni ujinga kudhani kuwa ukiwa unalipwa 3.6m basi huwezi kuwa na hitaji la kukopa 6m. Wafanyabiashara wakubwa kabisa wanakopa ije kuwa huyu mjasiriamali?
Kwanza uelewe kuwa yawezekana ana uhitaji wa haraka ambao hauwezi kusubiri miezi miwili ya kujichangisha. Asiyeelewa biashara hajui kuwa dili za kusupply vitu sehemu haziwezi kukusubiri.
Saa nyingine tuache ujinga na ushabiki, kumshambulia kila mtu kwa mtindo wa MOB ni utoto.
Dhamana???Naafuta mkopo wa haraka kuongezea mtaji. Natafuta angalau mill 6 kwa mtu binafsi nilipe ndani ya miezi 4 kupitia mshahara wangu. Mshahara wangu net salary ni 3,264,000/= na January net salary itakuwa 3,600,000/=.
Riba tutajadiliana. Nipo Dar es Salaam. Nitaomba mwenye msaada anisaidie ani PM tuweze kuwasiliana.
Ama kama kuna benki inaweza kukopesha na nikalipa ndani ya mwaka mmoja nitashukuru, pengine naweza kuomba 10,000,000/=.
Natanguliza shukrani.
Pamoja na mambo mengi uliyosema kuwa sahihi, hilo la kwanza linazalisha maswali kwako. Kama atamwambia huyo aliye tayari kumkopesha, imekuwaje sisi wengine (ambao asilimia kubwa hatuko tayari kumkopesha) atutajie mshahara wake wa leo na hata wa mwezi January? Si angeongea details hizo na huyo atakayekuwa tayari kumkopesha? Kwa sababu zile zile alizotutajia mshahara wake wa sasa na unaotarajiwa, angetuambia na details nyingine kuhusiana na maisha yake ya kila siku.Watu wengi humu mnaongozwa na ushabiki. Mi sijaona alichokosea hapo. Aseme anafanya wapi kazi au atamwambia yule atakayekuwa radhi kumkopesha?