Natafuta mkopo wa haraka, milioni 6, kulipa kupitia mshahara wangu

Hahaha Jamaa kaamua kuja na means of operand nyingine kbs. Hongera kwa ubunifu ila sidhan kama utapata kichwa humu ndani.
 
Nashukuru sana kwa kuchangia. ndugu zangu, ukweli ni kuwa naongezea mtaji wa biashara, na nahitaji fedha kwa pamoja..kikubwa na ninchoelewa, mwenye msaada wa hili atafuata njia zote za kjiridhisha na ninachoomba. hapo juu umechangia vema, hata akina Mengi, nao wanakopa sasa usiseme mbona ana fedha pia....mkopo naongeza biashara kikubwa ujue unakopa kwa ajiri ya nini, na je ukikopa unapata faida kuliko kulipa deni na riba zake...ni vema tukabadili mtizamo kuliko kila jambo kuchukulia vibaya
 

Huu wizi wa kitoto sana, Hebu mwonyeshe mtu yoyote hapo ofisini kwako hiki ulichokiandika hapa ...asome halafu akimaliza .... akupige kwenzi kumi ili kuushtua ubongo wako angalau uwe unafanya wizi wa kutumia akili sio huu wa kitoto.
 
Ngumu kumeza...
Halafu for salaried people mkopo unapatikana kwa urahisi kabisa benki mkuu, kwa hiyo kama salary slip yako ni clean, nenda utapata bila shida yoyote.
Kila la heri. Quid pro quo......:llama::majani7:
 
Msomaji yeyote wa mada mbalimbali zitolewazo JF ni ngumu sana kutapeliwa.
Binafsi naamini JF ni sehemu nzuri sana ya kujifunza mambo mengi yanayoendelea chini ya hili jua.
 
Huna nidhamu ya pesa,mshahara mkubwa umeshindwa kusave 6m!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…