Natafuta mkopo wa haraka wa tsh milioni 20

RAIATZ

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
13
Reaction score
4
Wakuu habari,

Kichwa cha habari kinajieleza. Natafuta mkopo wa haraka wa Tsh milioni 20. Nahitaji kuupata ndani ya siku 3. Nitaulipa kwa ndani ya mwezi kwa riba ya asilimia 15. Nipo Dodoma na ninadhamana ya sheli ya mafuta.

Kwa mtu anayeweza kunikopesha tuwasiliane kwa 0654000253
 
Je sheli hiyo wewe ndy unamiliki, swali lingine ni je hiyo sheli ina operate.
Kama una makaratasi ya sheli hyo kama hati etc...mkipeana kwa kutumia mwanasheria sioni kama utapata shida kupewa hyo hela mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…