Natafuta mkopo wa Kilimo na Ufugaji

Donkey

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,499
Reaction score
1,584
Wana jamvi,

Nataka kuanzisha mradi wa kilimo na ufugaji nipo Mkoa wa Shinyanga, wapi naweza kupata mkopo?

Tafadhali nisaidieni
 
Wana jamvi nataka kuanzisha mradi wa kilimo na ufugaji nipo Mkoa wa Shinyanga, wapi naweza kupata mkopo? tafadhali nisaidieni
Kachukue kwa lowasa, utapewa msaada (grant) wala si mkopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…