EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Chagua riba utakayoridhika nayo ambayo utaona ni sawa kwako kama kweli uko serious then nitamsaidia kumwekea dhamana
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..
Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
[/QUO
Una degree ya nn kwnz
15% mzee
Pole Sana Mkuu pia hongera kwa7bu una pakuanzia hvy vyet ni mtaj teyar MUNGU akupe hitaj la moyo wakoHabarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote..
Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa kampuni au kwa mtu binafsi,
Kama kuna mtu humu anaweza kunipatia mkopo au kuniunganisha na sehemu yoyote ambayo naweza pata hiyo ela nitashukuru sana...
Ahsanteni
N.B Sina kitu chochote cha kuweka dhamana, ila nitamkabidhi vyeti vyangu (original) kuanzia kidato cha nne hadi cha degree..
miezi 9-12
Habar ndg. Je nawezaje kupata namm huo msaada wa mkopo kw dhamana ya vyeti? Niko pwani ya kibahaOyaaa nichek pm kun mdau anatoa mikopo kwa dhaman y hvyo vtu sema sharti uwe mwanachuo wa udom ila tunaweza kumuelewesha akakuelew riba yake n 30%
Acha tu ndg. Elimu imegeuka mwiba kwa wasomi wengi ... Ni maumivu pia kwa wazaz na walez waliosomesha ...Aisee hizi degree ambazo zinageuka mizigo kwa watu na familia zao ni balaa..