Natafuta mkopo wa riba nafuu kutoka kwa mtu binafsi

Natafuta mkopo wa riba nafuu kutoka kwa mtu binafsi

gasper2015

New Member
Joined
Jan 11, 2022
Posts
3
Reaction score
4
Habari wadau,
Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank,
Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi
dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa
kiwanja kina kibanda cha chumba na sebule na mbele kuna nyumba ya block najenga ipo nusu
mkataba wa mauziano ya kiwanja ninao na kibali cha ujenzi kipo
alie siliazi anicheki, mwezi wa saba narudisha, uwe na riba isiyo umiza
0622575615
0658389266
 
Back
Top Bottom