raia tz
Member
- Nov 21, 2011
- 89
- 16
Wakuu habari zenu, mimi ni mwanafunzi wa chuo. Kwa sasa nipo hapa Dar-es-salaam. Nina Biashara ya bodaboda na nimeifanya kwa muda wa miezi mitatu sasa. Nahitaji kuongeza ya pili, binafsi nina shilingi 500,000 na nikipata mkopo huo nina weza kukamilisha mpango wangu.dondoo ni kama zifuatazo (1) Nina mapngo wa kulipa mkopo huo ndani za miezi sita pamoja na riba yake, ninaweza kulipa (2)Colateral nilionayo ni kadi ya hiyo bodaboda tu, sina asset nyingine (3)naomba kujuzwa riba ni kiasi gani kwa mwezi na riba kwa ujumla kama nitalipa kwa miezi sita (4) Naomba kwa anejua a right person kwenye banks anayeweza kunisaidia kwa sababau nimejaribu kwenda mwenyewe sijapata msaada stahiki (5)nipo flexible hata kama kuna watu au taasisi binafsi zinazoweza kunikopesha naweza fanya nao kazi MWISHO : nakaribisha mawazo yenu , napenda kukuza biashara yangu kwa sababu nimeianzusha kutokana na kujibana BOOM la bodi so I want to see my business move.