Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,049
Nadhani sasa atakuwa amenielewa..Wahi Bank yoyote
Kaka usipate shida. weka Tshs 120,000 kwenye laini yako ya voda, halafu ziingize kwenye M PAWA, kisha omba mkopo online bila kumpigia mtu magoti wala kupanga foleni ndefu kama Diunal wa Iringa wala kumpa mtu shikamoo. Ndani ya dkk mbili utapata mkopo wako. Anza mchakato halafu niambie.
naomba kueleweshwa jinsi ya kulipa na masharti ya ulipaji wa mpawa
Sina uhakika sana ila naona kama kiwango cha juu cha mkopo ni Tzs.500,000 na unatakiwa kulipa kwa mwezi mmoja; pia hawajasema kiwango cha riba!!
riba ni kama 9%,lakini mpawa huwezi qualify kupewa mkopo wao haraka.lazima uwe na account huko kwa mda fulani ndo unaruhusiwa kukopa.
pia kiwango cha kukopa kinapanda kutokana na namna unavyoweka na pia kulipa mkopo,japo kiwango cha juu cha mkopo ni 500,000