uko wapiWakuu nina dharula nahitaji TZS 300,000 kwa haraka naweka dhamana hati ya kiwanja na ntarudisha TZS 330,000 tarehe 30 July 2018.
Ubungo DSMuko wapi
Nadhani ulipewa upande wa moyo wangu huwa naona kusaidia ni wajibu wangu pale ninapokuwa na uwezo.No coment. I wish mambo yangekua sawa ningekupa wala singehitaji faida na dhamana.
Nadhani ulipewa upande wa moyo wangu huwa naona kusaidia ni wajibu wangu pale ninapokuwa na uwezo.
Safi Sana.
Hii yote ni kwa vile kila mtu anaishi kwenye mstari wa umimi ila kama ingekuwa tunaishi kwenye ujamaa tungekuwa na uwezo wa kusaidia matatizo kama haya pasipo kutoa nyaraka.Inauma sana mtu anaomba laki tatu anatoa hati ya Kiwanja.
Duh pole sana mkuu. Kama hujafanikiwa ni PMWakuu nina dharula nahitaji TZS 300,000 kwa haraka naweka dhamana hati ya kiwanja na ntarudisha TZS 330,000 tarehe 30 July 2018.
unajifanya mstaarabu wakati kijijini ndugu zako wanakufa njaa hata mia tano huwapiNo coment. I wish mambo yangekua sawa ningekupa wala singehitaji faida na dhamana.
Nenda benk ama kwenye vikobaWakuu nina dharula nahitaji TZS 300,000 kwa haraka naweka dhamana hati ya kiwanja na ntarudisha TZS 330,000 tarehe 30 July 2018.
ila mkubwa hawa waomba mikopo huwa wanakuja sana na adabu wakiwa na shida. Subiri wakati wa kulipa yaanio hata kama mlikuwa marafiki urafiki wenu waweza kufa. Yaani unamuamini mtu wala huchukui collateral yoyote halafu mtu anaamua kuku abuse. Ukishapitia kitu cha namna hii unaacha kabisa kukopesha watu bila collateral. Unakuta hela ulikuwa una kazi nayo nyingine ile umemsaidia mtu sababu umeona ana shida lakini yeye anaamua kukuchukulia poa. Kwa hiyo wacha tuwe tu na roho mbaya maana binadamu hawana shukrani wala wema.Hii yote ni kwa vile kila mtu anaishi kwenye mstari wa umimi ila kama ingekuwa tunaishi kwenye ujamaa tungekuwa na uwezo wa kusaidia matatizo kama haya pasipo kutoa nyaraka.
Na ndio maana mimi nilishakataa kukopesha ila kusaidia niko na mtu bega kwa bega.ila mkubwa hawa waomba mikopo huwa wanakuja sana na adabu wakiwa na shida. Subiri wakati wa kulipa yaanio hata kama mlikuwa marafiki urafiki wenu waweza kufa. Yaani unamuamini mtu wala huchukui collateral yoyote halafu mtu anaamua kuku abuse. Ukishapitia kitu cha namna hii unaacha kabisa kukopesha watu bila collateral. Unakuta hela ulikuwa una kazi nayo nyingine ile umemsaidia mtu sababu umeona ana shida lakini yeye anaamua kukuchukulia poa. Kwa hiyo wacha tuwe tu na roho mbaya maana binadamu hawana shukrani wala wema.