Natafuta mkopo

Natafuta mkopo

anny gervas

Member
Joined
May 14, 2013
Posts
23
Reaction score
19
Samahani wadau,nina shida ya mkopo kwa dhamana ya nyumba haijaisha yote lakini na pia nina sales agreement tu ya kiwanja maana hati miliki bado ipo kwenye mchakato..msaada
 
Waambie matajiri wa JF unahitaji kiasi gani? Nyumba ipo wap?(kata na mkoa mfano)..
 
Back
Top Bottom