Natafuta mkopo

free gage

Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
76
Reaction score
6
wapendwa natafuta mkopo wa sh laki mbili haraka unahitajika kesho .. niko tayari kulipa kwa riba au yeyote anaefaham sehemu wanayotolea mikopo .. nitalipa mwisho mwezi huu
 
Boycott wako sophiahouse utawapenda masaaa 24
 
Mtumishii ujalala ubarikiwe hawajamaa nimewakyta Uganda nkawaheshimu
 
Kama uko ARUSHA pm asubuhi upewe hela
 
kweli Tanzania maisha yanabana kuna rafik hapa anaosha vyombo na kufagia hiyo ela analipwa kwa siku moja tu full time
 
unaweka dhamana kitu gani?? na je riba asilimia 15 kwa mwezi upo tayari??
 
nina kiwanja 32 kwa 28 nina tv na mtungi wa gas na jiko lake
 
Nahitaji mil 30 nitarudisha ndani ya miezi 5 nina SHAMBA la ekari 13 wasiliana nami hapa +255 657 740 797
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…