Mgweno Hamisi Member Joined Sep 1, 2016 Posts 57 Reaction score 42 Jul 23, 2022 #1 Nahitaji mwenyeji mkulima wa mazao biashara na chakula morogoro tushirikiane kulima pamoja. Mimi sio mwenyeji wa mkoa wa morogoro na sijawah kulima morogoro.
Nahitaji mwenyeji mkulima wa mazao biashara na chakula morogoro tushirikiane kulima pamoja. Mimi sio mwenyeji wa mkoa wa morogoro na sijawah kulima morogoro.
Nyuki Mdogo JF-Expert Member Joined Oct 31, 2021 Posts 4,134 Reaction score 10,711 Jul 23, 2022 #2 Nenda morogoro uijue morogoro usije ukalizwa vihela vyako vya sensa
L legend jemedari Senior Member Joined Sep 7, 2013 Posts 176 Reaction score 242 Jul 23, 2022 #3 Mgweno Hamisi said: Nahitaji mwenyeji mkulima wa mazao biashara na chakula morogoro tushirikiane kulima pamoja. Mimi sio mwenyeji wa mkoa wa morogoro na sijawah kulima morogoro. Click to expand... Kuna kampuni Morogoro inajihusisha na kilimo kwa mkataba maalum wanajiita SOILA PLC, ingia mtandaoni uwasiliane nao watakupa maelekezo. Niliwaona hata kwenye maonyesho ya sabasaba kitaifa Dar walikuwepo.
Mgweno Hamisi said: Nahitaji mwenyeji mkulima wa mazao biashara na chakula morogoro tushirikiane kulima pamoja. Mimi sio mwenyeji wa mkoa wa morogoro na sijawah kulima morogoro. Click to expand... Kuna kampuni Morogoro inajihusisha na kilimo kwa mkataba maalum wanajiita SOILA PLC, ingia mtandaoni uwasiliane nao watakupa maelekezo. Niliwaona hata kwenye maonyesho ya sabasaba kitaifa Dar walikuwepo.