Natafuta mkulima wa matikiti maji

ndesangao

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Nina mpango wa kununua matikiti maji kutoka shamba kwa bei ya shambani.Kama kuna mkulima aliyeko tayari anitafute.
 
xawa kama upo serious tawasiliana! yangu bado yapo jikon na usafiri ni uhakika kama upo dar!,
 
Mi yangu bado kidogo kama utakuwa mteja wa kudumu sawa
 
Safi sana,hii ndio raha ya JF watu wanapiga maisha
Msisahau kutoa sadaka na kuwaombea waanzilishi wa JF
 
namba zangu ni 0659663232

unanunuaje matikiti maji, unanunua bei ya kwa kila moja moja na kama matikitikiti mtu akijaza canter nzima unanuaje........nauliza hivyo maana mfano wale madalali wa tandika na buguruni sokoni wakijaga nunua matikiti shambani wananunua kwa kukadiriaaa kwa hiyo unakuta mkulima hapati faida...
 
Mbunge wa musoma wa ccm ;aliyeshindwa ni mkulima mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…